Its Angelina Jolie Vs. Jennifer Aniston
Wapambe wanasema " it seems Angelina Jolie and Jennifer Aniston have more in common than the same taste in men"hehehehehe
Kivazi ambacho kila mmoja wao kwa nyakati tofauti kinachoacha paja moja nje ndio kimeleteleza mpambanisho huo...
Kwanza alianza Jennifer kuvaa gauni hilo mwaka 2010 kwenye Golden Globes Award,then juzi kati Angelina Jolie naye alivaa almost the same style kwenye Oscars. Swali likabaki jeee Angelina Jolie anataka kumfunika Jennifer once again baada ya kufanikiwa kumchukua aliyekuwa mume wa Jennifer, Brad Pitt???
Swali langu ni je unadhani nani kafunikaaa au kavunja kabati??
No comments:
Post a Comment