Karibuni tuburudike

Thursday, February 23, 2012

ANNOUNCEMENT TO ALL MSOLWA FINALIST CLASS OF 2005

MSOLWA CLASS OF 05' GET TOGETHER

HOST: TERRI MHAIKI

Heeey guyz mliomaliza Msolwa mwaka 2005 including me....wote tunatangaziwa na kualikwa kwa pamoja kwenye GET TOGETHER itakayofanyika MBUDYA ISLAND.
Tujongee jamani, its all about kuenjoy and all stuffs, kucatch up from the period tangu tumalize na mambo kama hizo...
About the whole arrangement itakuwa hivi:
Get together yenyewe itafanyika siku ya JUMAMOSI tarehe 3 March 2012.
Tutakutana kwa pamoja Mwenge mida ya saa tatu asubuhi, then tutaondoka kwa pamoja kuelekea Aficana...from their tutachukua vibajaji hadi Whitesands Hotel. Then from hapo ndo tutachukua BOAT to MBUDYA ISLAND. Isn't that exciting jamaaaaaani??
I so love trips ka izo and if all goes well I will definately go....what about you GUYS?? Tusimuangushe Host wetu basi and after all its gonna be fun mind you.
Kwa mtakao bahatika kuonatangazo hili,wapitishieni ujumbe na wengine wasiojua au wasio na habari please.
Kwa wasiopajua pia wanaweza kumchek Erick Mutemi through 0712016019 for more directions.

KARIBUNI JAMANI TUJUMUIKE PAMOJA, ITS GONNA BE FUUUN AISEE...
                         Dont u dare miss

No comments:

Post a Comment