Karibuni tuburudike

Monday, March 26, 2012

MISS YOU GUYS

Heeey guys/blog members...
Nimewamisijeeee...currently I have been so caught up na stuffz I'm working on so sina enough time ya kuupdate my blog...but very soon ntakuwa back on track...this is just a note to let u know I miss you guys...much love and I'm blowing you kisses...
                     Maty

Wednesday, February 29, 2012

MAPENZI NA MEDIA KAZI KWELI KWELI

Its Angelina Jolie Vs. Jennifer Aniston
Wapambe wanasema " it seems Angelina Jolie and Jennifer Aniston have more in common than the same taste in men"hehehehehe
Kivazi ambacho kila mmoja wao kwa nyakati tofauti kinachoacha paja moja nje ndio kimeleteleza mpambanisho huo...
Kwanza alianza Jennifer kuvaa gauni hilo mwaka 2010 kwenye Golden Globes Award,then juzi kati Angelina Jolie naye alivaa almost the same style kwenye Oscars. Swali likabaki jeee Angelina Jolie anataka kumfunika Jennifer once again baada ya kufanikiwa kumchukua aliyekuwa mume wa Jennifer, Brad Pitt???
Swali langu ni je unadhani nani kafunikaaa au kavunja kabati??

Thursday, February 23, 2012

ANNOUNCEMENT TO ALL MSOLWA FINALIST CLASS OF 2005

MSOLWA CLASS OF 05' GET TOGETHER

HOST: TERRI MHAIKI

Heeey guyz mliomaliza Msolwa mwaka 2005 including me....wote tunatangaziwa na kualikwa kwa pamoja kwenye GET TOGETHER itakayofanyika MBUDYA ISLAND.
Tujongee jamani, its all about kuenjoy and all stuffs, kucatch up from the period tangu tumalize na mambo kama hizo...
About the whole arrangement itakuwa hivi:
Get together yenyewe itafanyika siku ya JUMAMOSI tarehe 3 March 2012.
Tutakutana kwa pamoja Mwenge mida ya saa tatu asubuhi, then tutaondoka kwa pamoja kuelekea Aficana...from their tutachukua vibajaji hadi Whitesands Hotel. Then from hapo ndo tutachukua BOAT to MBUDYA ISLAND. Isn't that exciting jamaaaaaani??
I so love trips ka izo and if all goes well I will definately go....what about you GUYS?? Tusimuangushe Host wetu basi and after all its gonna be fun mind you.
Kwa mtakao bahatika kuonatangazo hili,wapitishieni ujumbe na wengine wasiojua au wasio na habari please.
Kwa wasiopajua pia wanaweza kumchek Erick Mutemi through 0712016019 for more directions.

KARIBUNI JAMANI TUJUMUIKE PAMOJA, ITS GONNA BE FUUUN AISEE...
                         Dont u dare miss

YAAAY KOURTNEY KARDASHIAN IS EXPECTING A BABY GIRL..

I am one of those people who are obssesed with the American Reality show,"Keeping up with the Kardashians"
Sasa to all you guys ambao mnapenda hii show pia, its my hope kuwa mnajua Kourtney and boyfriend Scott Disick are expecting their second baby....Sasa juzi kati hapa Kourtney ameconfirm officially kwamba baby Mason is gonna be a brother to her unborn baby girl....
Yesuuuuu sipati picha huyo mtoto atakauwaje, mrembo vilee au, manake baby Mason tu mwenyewe wa' ukweee'
Aaaaaaaaaaaaaw!!
Kourtney told E! News: 'We feel so blessed to be having a little girl and to be able to share this new experience with Mason.'

This is her family, Kourtney, Scott and baby Mason, fu ongezea kasichana hapo...weeeee,I am so waiting...



WOOW NANCY'S BABY IS GORGEOUS


This is baby Zuri jamani,baby wa mrembo Nancy Sumari,isnt she CUTE...

Wednesday, February 22, 2012

Was Beyonce jealousy of the cheer leaders 'Hot bodies' at the Knicks Game?

Mrs Carter was spotted at the New York Knicks game staring longingly at the cheerleaders body at her first basketball game appearance since her pregnancy reported The Mirror.  Beyonce is a very secure woman as we can all see, naamini anajiamini sana and I am sure she was just checking out their performance and absolutely nothing to be envious about hehehe....she looks awesome even after giving birth aaaaaaaw...xxx

How sweeeeet...

Who wore it better

Iman Vs. Mila Kunis in Prabal Gurang dress
Iman looked her usual elegant self in this Prabal Gurung dress along with pointed toes heels last week at the ‘Strut: The Fashionable Mom’ show in New York, and my one of my favorite actresses, Mila Kunis, shone in hers along with black accessories  at the beginning of the year to a fundraiser for St Jude’s.
Who do you guys think wore better??