Karibuni tuburudike

Wednesday, January 11, 2012

Yeeaaah Shez so ready for the FAME...

Aaaaaaaaaw mrembo,kisura Amber Rose kaachia new track "FAME"


Mrembo huyu kaachia single yake ya kwanza kama mwanzo wa career yake ya muziki.kwenye track hiyo kamshirikisha kipipi moyo (sweetheart)wake Wiz Khalifa....tutakomajeeee!!















Mupenziwe huyo amekaririwa kwenye moja ya mitandao ya kijamii..."twitter" akimtell Amber kwamba she'z now ready...and that's ready for the FAME for sure!!!

These  Lovebirds Amber Rose and Wiz Khalifa first revealed that they’ve been collaborating together on music last year while on the MTV VMAs black carpet. And you can all breathe easy, for the first fruit of their labor has now emerged — the synthy electro jam “Fame”.  No, it’s not a David Bowie or Irene Cara cover. (Though, can you imagine?) Thematically, it plays more like Amber’s take on Fergie’s 2007 hit “Glamorous”. Hear all about the the glitzy life below.

Amber sings about the ups and downs of being an overnight sensation — riding high on private jets, having your name plastered “all around the world,” etc. And if anyone should know about that jazz, it’s Kanye’s ex/Wiz’s squeeze.
And speaking of the “Black And Yellow” MC, he adds this rap: “Now you’re bustin’ out, doin’ your thing, in your face, cuss them out / braggers, your the one that they fuss about, you’s a bad little mother, shut your mouth.”

Good One you two....

Mapishi ya Rosti ya Maini




Mchana wa leo nitashare nanyi namna ya kupika Rosti ya Maini. Waweza kula na wali, ugali, chapati, mikate au viazi au chochote unachopenda. Karibu







    MAHITAJI
    Maini ya ng'ombe
    Kitunguu swaumu kilichosagwa
    Tangawizi iliyosagwa
    Kitunguu maji 1
    Chumvi
    Mafuta ya kupikia
    Pilipili kichaa 1
    Biringanya 1
    Pilipili hoho 1
    Karoti 1
    Viazi mviringo 2
    Nyanya 2
    Tui la nazi

JINSI YA KUPIKA
-Katakata maini katika vipande vidogo na kisha vioshe
-Chuja maji na uweke kwenye sufuria
-Weka sufuria kwenye jiko, washa moto na ongeza chumvi na mchanganyiko wa kitunguu swaumu na tangawizi zilizosagwa
-Acha maini yachemke, ongeza maji moto pale yanapokaukia mpaka yaive kabisa
-Epua maini yako tayari kwa kuyaunga
-Chukua sufuria safi, weka kwenye moto
-Ongeza mafuta na acha yachemke kiasi kisha ongeza chumvi
-Ongeza vitunguu maji na vipike mpaka vibadilike rangi
-Ongeza mchanganyiko wa vitunguu swaumu na tangawizi vilivyosagwa
-Ongeza pilipili hoho na biringanya na koroga taratibu na viache viive
-Chukua karoti iliyokatwakatwa na viazi mviringo ambavyo utakua umevichemsha kidogo viongezee kwenye sufuria yako
-Ongeza maini yaliyochemka, pamoja na viungo unavyopendelea
-Ongeza nyanya na uache iivie huko ili kutengeneza rojo
-Ongeza tui la nazi na koroga bila kuacha mpaka unapoona mboga inataka kuchemka, ila hakikisha tui halikatiki kwa kuchemka
-Epua mboga yako tayari kwa kuliwa.

Tuesday, January 10, 2012

DIAMOND, WENZAKE WAHUKUMIWA JELA MIEZI 6, WALIPA FAINI



Diamond (kulia) na mcheza shoo wake wakiwa nje ya mahakama ya mwanzo mjini Iringa  jana asubuhi muda mfupi kabla ya kuhukumiwa.
MSANII nyota wa muziki wa kizazi kipya, Naseeb Abdul Jumaa ‘Diamond’  na wenzake wamekubali kosa la kumshambulia mwandishi Francis Godwin na kuhukumiwa kwenda jela miezi sita kila mmoja ama kulipa faini ya shilingi elfu hamsini (50,000/=) kwa kila mmoja ikiwa ni pamoja na kulipa shilingi elfu thelathini (30,000/=) kwa Godwin.
Watuhumiwa wamelipa faini hiyo japo mwanahabari huyo hajapokea fedha hiyo na anakusudia kukata rufaa katika mahakama ya juu zaidi.

Beyonce gives birth to baby girl “IVY BLUE CARTER” in NEW YORK


Update: 4:25 am: The New York Daily News is reporting Beyonce check into Lenox Hospital on the Upper East Side Friday evening under the alias name “Ingrid Jackson” hospital staffer said. She rented the entire 4th floor paying a reported 1.3 million.

3:23 am So the news the world has finally been waiting for is here!!!! Singer/ Entertainer Beyonce has given birth to a baby girl name “Ivy Blue Carter”. Reports claim Husband Rap Mogul Shawn Carter aka Jay Z was by her side as she delivered the baby in New York City, at Lenox Hospital, Saturday night January 7, 2012.
Baby Ivy Blue Carter came into the world via scheduled C-section. Reports claims mother and baby are said to be doing OK. This is the first child between Jay Z and Beyonce who has been married for roughly 6 years.
Confirming the news on Twitter was a host of Celebrities including friend of the couple Mogul Russell Simmons, tweeting the new parents: “congrats to my good friends Beyonce and Jay-Z.”
Rihanna also Tweeted “”Welcome to the world princess Carter! Love Aunty Rih.”
The news comes as the internet caught fire over the rumored birth and all the speculation around the mega couple.


Congratulations to the couple. I wish the new addition to the Carter family well!